Tamasha Kubwa la Kwaya Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam – Jubilei 2025!
Wapenzi wa muziki wa kwaya na waumini wote wa Kanisa Katoliki, jiandae kushuhudia tukio la kipekee – Tamasha la Kwaya Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, likiambatana na kauli mbiu ya Mahujaji wa Matumaini katika Jubilei 2025. Wenyeji wa tamasha:Mha. Jude Thaddaeus Ruwaichi – Askofu MkuuMha. Henry Mchamungu Kyara – Askofu Msaidizi Kwaya Mwalikwa: […]